SHARE OUR BLOG

Thursday, April 14, 2011

Blog Mpya kutoka Bukoba

Habari za kushinda mabibi na mabwana brotherz and sisterz.
 Galiatanoz tumeamua kufanya revolution kwa upande wa BUKOBA na kuanzisha blog yetu itakayo kua inahusisha mambo yanayojiri bukoba town na hata nje ya Bukoba yetu.
So wewe kama mdau tunakuomba maoni yako yasiyochafua hali ya hewa bali ya kujenga ili blog hii izidi kusonga mbele.WADAU NAOMBA KUWASILISHA HOJA. Sir.loom Galiatano